Anafahamika kama Abdu Ssekalala,mwanafunzi wa Computing and Information Technology katika chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda.Umri wake ni miaka ishirini na mbili (22).
Utajiri wake huu wa kupindukia ameupata kutokana na ku develop mobile applications ambapo mpaka kufikia sasa amekwisha develop application zisizopungua tisa zinazojulikana kimataifa ikiwemo Wordbook-application ya kamusi.Pia kuna application ya World sport maalumu kwa ajili ya wapenzi wa soccer.
Wordbook ni kati ya application zake zenye mafanikio makubwa sana katika moja ya store kubwa kabisa ya mobile applications duniani,Nokia Ovi store.Wordbook peke yake inamuingizia karibu dollar 1.25 za kimarekani kwa kila download na mpka kufikia julai mwaka 2012 tayari application hiyo ilikuwa imeishakuwa downloaded mara 300,000 hivyo kumuingizia zaidi ya dollar za kimarekani 375,000 (sawa na Tsh million 675,000,000).Application ya wordbook imekuwa downloaded zaidi katika bara la Asia.Kwa maneno yake mwenyewe hivi karibuni amesema application ya Wordbook ni application ya tatu duniani kwa kuwa downloaded zaidi kwenye Ovi Store.
Nyota ya Abdu ilianza kuoneka pale Nokia walipoendesha mafunzo kwa ajili ya waendelezaji wa software (software developers) nchini Uganda.Baada ya hapo alianza kutengeneza application zake mwenyewe ambazo Nokia walivutiwa nazo na kukubali kufanya naye kazi kupitia Ovi store.
Inakadiriwa kuwa kufikia mwezi julai mwaka huu,Ssekalala alikuwa na kiasi cha dollar za kimarekani 500,000 (sawa na Tsh million 900,000,000) katika akiba na anatabiliwa kuwa mmoja kati ya matajiri wakubwa ambao ni self-made nchini Uganda kufikia mwaka kesho.
Unaweza pia ku-share hii habari na rafiki zako

Nice information my bro......!!
ReplyDeleteThanks for your appreciation Harvey!we invite you to visit more often for more info and if you wish,share your experience with your friends.
ReplyDeleteVery great post. I simply stumbled upon your blog and wished to
ReplyDeletesay that I've really enjoyed surfing around your weblog posts. After all I will be subscribing to your feed and I'm hoping you write again very soon!
Here is my weblog ... Oregon mortgage aid
I feel that is among the so much important information for
ReplyDeleteme. And i'm glad reading your article. But wanna remark on some general things, The site taste is wonderful, the articles is actually nice : D. Excellent task, cheers
Feel free to visit my web-site :: the truth teller show
I blog frequently and I genuinely thank you for
ReplyDeleteyour information. The article has truly peaked my interest.
I'm going to book mark your site and keep checking for new information about once a week. I subscribed to your RSS feed as well.
Also see my website: Muscle Building
Thanks y'all for showing appreciation.I suggest you sign in as members of the blog if you find it real useful so as when you write we recgonize you by the name nt just anonymous.
ReplyDeleteI love it when people get together and share ideas.
ReplyDeleteGreat website, keep it up!
Also visit my blog :: Visit Website
Wow, fantastic blog layout! How long have you been running a blog for?
ReplyDeleteyou make blogging glance easy. The whole glance of your site is fantastic, as
smartly as the content!
Here is my web-site: Villa Schoensinn Karlsruhe
Thank you for some other informative website. Where
ReplyDeleteelse could I am getting that type of information written in such an ideal manner?
I have a venture that I'm simply now running on, and I have been at the look out for such information.
Feel free to visit my homepage ... phil cardella mugshot
Ahaa, its fastidious discussion concerning this article at this place
ReplyDeleteat this webpage, I have read all that, so at this time me also commenting here.
my web site - facebook quotes
Hi there great blog! Does running a blog like this require a
ReplyDeletegreat deal of work? I've virtually no understanding of programming however I was hoping to start my own blog in the near future. Anyway, if you have any recommendations or tips for new blog owners please share. I know this is off topic but I simply wanted to ask. Thanks!
my web blog ... best auto insurance companies in california